Friday, May 26, 2023

Wazee wataka utamaduni wa asili 'Vikome' urudi usukumani

Wazee wataka utamaduni wa asili ‘vikome’ usukumani urudi

 Na Mwandishi Wetu, Msalala

 Wanaume kutoka kata za Lunguya na Shilela, Halmashauri ya wilaya ya Msalala, mkoani Shinyanga, wameitaka jamii kurudisha utamaduni wa asili wa kukaa na familia maarufu kama vikome ili kurudisha maadili ambayo yameporomoka.
Wakizungumza katika mdahalo wa wanaume uliolenga kujenga mjadala juu ya nafasi ya wanaume katika kuzuia vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na kuacha mila na destri kandamizi ulioendeshwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), walisema kwamba, mila hiyo ya asili ni muhimu sana ikarudi kwani ilisaidia sana kujenga jamii kuanzia ngazi ya familia. 

 Amesema kwamba kuna umuhimu mkubwa kwa jamii kurudisha utamaduni wa asili wa kufanya vikao vya familia (vikome) kati ya Baba na watoto ili kujenga maadili mema, na kukemea tabia chafu ikiwa ni pamoja na kujenga uwajibikaji katika familia. “turudishe utamaduni wa asili, vikao vyetu vya Baba wa familia na watoto vilikuwa na maana sana wakati ule, tumekimbilia tamaduni za nje, umesahau mamabo yetu. Vikome vilisaidia sana kujenga maadili. Wazee w a leo, wamekuwa hivyo kwa sababu ya vikao vya familia (vikome) siku hizi hakuna” alisema Mchungaji Joseph Mwamashimba.

 Mwezeshaji wa Midahalo huo kutoa TGNP, Deogratius Temba, alisema kwamba, mdahalo huo ni sehemu ya mradi unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa mataifa la idadi ya watu (UNFPA), na Shirika la Msaada wa Korea (KOICA), ambao unalenga kubadilisha mitazamo, mila na destru kandamizi zinazochangia Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto.

TGNP yakutanisha wanaume Msalala kuzuia Ukatili wa Kijinsia

Na Mwandishi Wetu, Msalala Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeendesha mdahalo wa kutomokeza vitendo vya Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto katika Kata za Lunguya na Msalala, Halmashauri ya wilaya ya Msalala,wilayani Kahama Mkoani shinyanga.
Mdahalo huo uliowahusisha wanaume, pia wameshiriki wanaume ambao ni viongozi wa kijamii, kama wazee wa mila, wakango na Viongozi wa Dini, ili kuwapa nafasi wanaume kujadiliana wenyewe nafasi yao katika kutokomeza, kuzuia na kuwalinda watoto wa kike dhidi ya Ukatili ikiwa ni pamoja na kutokomeza mila na destru inazochangia vitendo hivyo. Katika mdahalo huo, pia wanaume hao walipendekeza kushirikiana na serikali kujenga mazingira salama kwa watoto wanaosoma shule za sekondari kwa kuhakikisha wanajenga mabweni ya wasichana ili kuwakinga na hatari ya kupata ujauzito kutokana na kutembea umbali mrefu kwenda shuleni. Akizungumza Mtendaji Kata wa shilela Mwanahidi Mzee, wakati wa mdahalo huo, alisema kwamba kupitia Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Msalala, Kata hiyo imepatiwa sh. Milioni 10 kwaajili ya kuanza ujenzi wa bweni la wasichana, ambapo ushiriki wa jamii yote kwa ujumla ni muhimu sana ili mradi huo uweze kukamilika kwa wakati na kuwa na tija.
“ tumekubaliana, fedha hii iliyoingia, tuanze ujenzi mara moja maana tunahitaji kuweka mazingira salama kwa watoto wa kike wanaosoma katika shule hii, ni muhimu sana. Tunahitaji nguvu kazi ya kutosha ili tumalize kwa wakati’ alisema Mwanahidi. Kwa upande wa kata ya Lunguya wanaume walioshiriki mdahalo huo, walikubaliana kwamba, kwa pamoja warudi kwenye mila nzuri za kulea vijana ili kujenga kizazi chenye maadili kwani maadili yameharibika sana miongoni mwa jamii. Aidha walikubaliana kwamba wanaume warudi kwenye nafasi yao ya kusimamia watoto na kuwajibika kwani endapo wanaume wataendelea kuwaachia wanawake kusimamia familia, na kulea watoto tatizo la ukosefu wa maadili litaendelea katika jamii na mimba za utotoni hazitapungua. Pia wameshauri serikali za vijiji kuweka sheria ndogo za kuzuia watoto wa shule wa kike na kiume kushiriki kwenye ngoma za usiku, sherehe na kuzurura hovyo mitaani usiku, ili kuwaepusha na vishawishi
Washiriki wameshauri pia, jamii kurudisha utamaduni wa asili wa kufanya vikao vya familia (vikome) kati ya Baba na watoto ili kujenga maadili mema, na kukemea tabia chafu ikiwa ni pamoja na kujenga uwajibikaji katika familia. “turudishe utamaduni wa asili, vikao vyetu vya Baba wa familia na watoto vilikuwa na maana sana wakati ule, tumekimbilia tamaduni za nje, umesahau mamabo yetu. Vikome vilisaidia sana kujenga maadili. Wazee w a leo, wamekuwa hivyo kwa sababu ya vikao vya familia (vikome) siku hizi hakuna” alisema Mchungaji Joseph Mwamashimba. Mwezeshaji wqa Midahalo huo kutoa TGNP, Deogratius Temba, alisema kwamba, mdahalo huo ni sehemu ya mradi unaofadhiliwa na Shirika la Umoja wa mataifa la idadi ya watu (UNFPA), na Shirika la Msaada wa Korea (KOICA), ambao unalenga kubadilisha mitazamo, mila na destru kandamizi zinazochangia Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na watoto.

Friday, May 19, 2023

Wadau wakutana na TAMISEMI , watoa maoni juu ya mikopo ya 10%

Wadau wakutana na TAMISEMI kujadili mfumo wa utoaji mikopo ya asilimia 10 Na Deogratius Temba, Dodoma KIKOSI kazi cha Asasi za Kiraia (Azaki), wamekutana na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kuwasilisha maoni na mapendekezo yao kwenye mfumo wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri kwa Wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu.
Kikosi kazi hicho chini ya uenyekiti wa UNA-Tanzania, kimewakilishwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), ANSAF, WAjibu- Institute of Public Accountability, Policy forum na IDPC, na kuwasilisha maoni ya Azaki juu ya muundo gani utakaowezesha makundi lengwa kunufaika na fedha hizo. Awali akiwasilisha, Mkuu wa Programu kutoka UNA-Tanzania, Lucas Kifyasi alisema kwamba kikosi kazi kimefika Tamisemi kwa lengo la kuwasilisha maoni na mapendekezo ya haraka mara baada ya kusitishwa kwa muda mfumo wa sasa unaotumika kutoa mikopo kwa makundi maalum ili kusubiria muundo na mfumo mpya. Pamoja na mengine, suala kutumia benki kupitisha mikopo hiyo, ambapo wadau walipendekeza kuwepo na Banki ya serikali za Mitaa ambayo itaweza kulenga kuwafikia walengwa kiurahisi, kuliko kuzitumia benki za kibiashara ambazo makundi maalum yamekuwa yakipata changamoto kufikia huduma za kibenki. Kaimu Mkurugenzi Utawala Bora na Maendeleo ya jamii kutoka TAMISEMI , Stephen Motambi, alishukuru Azaki, kwa kuona umuhimu wa kuwasiliana na wizara kabla mchakato haujafika mbali. Aidha, aliwashauri wadau kuandaa wasilisho litakalo onesha muundo ambao wadau wa Azaki wanapendekeza na kuwasilisha Tamisemi ili mikopo hiyo iweze kuwanufaisha walengwa wengi na kuhakikisha changamoto zilizojitokeza huko nyuma hazitajirudia.

Thursday, May 4, 2023

TAKUKURU mkoa wa Singida tokomezeni rushwa ya ngono- RC Serukamba

MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba,ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani kwa kushirikiana na vyama vya wafanyakazi kuhakikisha rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kijinsia inatokomezwa katika mkoa huu.
Akizungumza leo Mei Mosi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya wafanyakazi kimkoa zilizofanyika Manispaa ya Singida, amesema tatizo la rushwa ya ngono ni lazima likomeshwe kwenye Mkoa wa Singida. Serukamba amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri ambao bado hawajawalipa posho watendaji wa kata kuwalipa ndani ya miezi mitatu na kutoa taarifa kwake. "Nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu wa kuwapandisha madaraja watumishi waliokuwa wanastahili hali ambayo imeleta motisha na tija katika utendaji kazi kwa watumishi ," amesema Serukamba.

We should unite to end GBV against women in football

By Victoria Mungure, OUT Violence Against Women (VAW) occurs in all societies, at any stage of a woman's lifecycle and at any social life that women live. The violence that women face affects their day-to-day life, particularly how they participate in the mainstream of community life. Women’s participation in sports particularly in football is very low globally; one of the reasons is Gender-Based Violence, stigma, and attitudes towards women who participate in football. The situation has denied women an opportunity to leap the benefits of football sports especially good health, physical fitness, and economic opportunities. Gender-based violence (GBV) in sports refers to any physical, psychological, sexual, or economic violence perpetrated against women just because they are women’s football stakeholders. This may occur in various dimensions varied from the family level, community level, clubs’ level, and other public spaces. They may take all forms including physical, psychological/emotional, and sexual acts of violence. According to the study conducted by Global Peace Foundation Tanzania, under the support of WFT in 2021, the study came up with several recommendations that were worked on for the WFT and the Global Peace Foundation to meet with various stakeholders, to consult on how to so that the problem of Sexual Violence ends within the sports sector. There were also good recommendations to persuade various organizations and sports stakeholders to cooperate to ensure that the problem of Sexual Violence and Sexual harassment of girls involved in football ends. In addition, stakeholders suggested that the government intervene and set guidelines and policies that will lead to the protection of girls in the sports sector.
The Government of Tanzania has taken initiative in addressing Violence Against Women and Children in Tanzania by developing the National Plan of Action to End Violence Against Women and Children (NPA-VAWC). 2016/17-2021-22. Despite the efforts, women and girls in football continue to suffer from GBV because the role of The Ministry responsible for Sports is very minimal in the implementation of NPA-VAWC. Also, the community still stigmatizes women who participate in football and other sports. In light of this view, this study was conducted by GPF to establish the state of GBV in women’s football. Specifically, the study addressed three key objectives, namely to: determine and establish the magnitude of GBV in Football sport in Tanzania; determine the existing policy gap on preventing and responding to GBV in sports, and generate stakeholders’ recommendations on policy improvements to be done in football to improve women participation.
speaking to the journalist, The GPF’s Country Director, Ms. Martha Nghambi, said that, after doing the GBV study for the year 2021, this year 2022 WFT has continued to support the organization by enabling it to continue implementing part of the recommendations of the Research report. Ms. Martha says that the GPF is already continuing to meet with various stakeholders to discuss how to improve the environment of girls who play football and ensure that they are not subjected to acts of sexual violence. he has already said, GPF has met with TFF, BMT, Tanzania women's football associations and now they are preparing to meet with sports journalists and media leaders to discuss “ ...GPF we are very grateful to WFT for providing us with the funds that in 2021, we did this research and gave us a light on where to start in lobbying and advocacy. With the speed we are going to meet with stakeholders, including women players and former players, we believe that the community will gain understanding. And we want to collaborate with the government and other football bodies to create awareness in the community, especially women who participate in football, to change the attitude towards acts of humiliation for women in the sports industry” said Martha Martha added that, GPF in collaboration with WFT expect in the ongoing project to l collaborate with sports clubs and government authorities to set guidelines, rules and policies that will prevent acts of sexual violence and protect women from humiliation in sports. Also she said, the project is intending to develop innovative mechanisms for reporting and addressing Violence Against Women Footballers. This is because the study also found that there are no policies within the clubs both registered and unregistered that address Violence. The TFF and ZFF in collaboration with the responsible ministries should instruct each club to develop internal policies that aim at addressing violence against women footballers. Ensure they enhance psychosocial and other services to women and girls who are subjected to violence

WE MUST TREAT GENDER-BASED VIOLENCE AS A ‘PANDEMIC'

By Marco Kijo, SJMC To be in relationship isn’t supposed to be battle field among those who engaged themselves by their willingness or external/internal forces were applied during the process. Gender-based violence incidents have been practiced for years in our societies and there are a different number of stakeholders like TAMWA or TAWLA and government are fighting against those actions and the rights of the person(s) affected. Gender Based Violence as any violence that targets individuals or groups on the basis of their gender which plays on norms and gender exclusions to break people down both physically and emotionally and encompasses all women, men, girls and boys. This is according to United Nation, 2004. An estimated 35% of women worldwide have experienced either physical or sexual violence. In Tanzania women seemed to be most violated because of different media reports but men are also affected once in a minimal number. The region from the lake zone of Tanzania like Mara and Mwanza are mostly affected by GBV but also in the Northern part of the country, some women are affected for various reasons. GBV actions are happening for various reasons, such as depending on the personal behavior, Culture norms, and economic status of an individual or entire society. As we reach a position to term Gender Based Violence as a ‘Pandemic' it’s because they increase in number in our society on both men and women, but most of these harmful actions are done to women and left some of them with disability and others they face death. Personal behavior: can inherited or learn it when growing up, you can find young one with rude attitude and then you look to his father or uncle, they are similar.
Others learn from their school friends or on streets were they spend most of time alone. They can learn bad habit like abusing drugs, for instance smoking of marijuana or sniffing other imported drugs (cocaine, heroin or mandrax) plus alcohol abuse. Those deeds can generate a generation with father and mother with attitude of not being afraid causing harm to others. Some of the GBV are after smoking weed (marijuana) or alcohol abuse at which drive a guy to beat or rape a woman. According to Tanzania constitution and it’s laws is illegal to cause harm and might be cause a death to another one unintentional can make an accused to be sentenced to prison for life. Hassan Mayunga, Senior State Attorney, President's Office Ethics Secretariat insist on the society to be aware on their habit of beating their partner. “…you may think that to beat your wife or fiancĂ© is just a normal act, but it’s consequence may results into life sentence to life prison when the death occur”. Under Penal code cap 16 section 198 says that, “any person who commits the felony of manslaughter is liable to imprisonment for life”. Cultural norms: Early or forcing marriage may results into death, this is when the girl give birth due to the fact she’s not ready to perform delivery process. Another cause of death is aftermath of reaction of a girl(woman) she’s not ready to start a family with a man forced to marry whom could be too older than her. Happy Nyasumo (18) of Serengeti district residence attempted first-degree murder to her husband Bebe Mbogo (26) after 14 days of their marriage. Happy was forced to marry Bebe after her family received several cattle as a bribe, she wasn’t ready to marry him and she decided to cut his husband’s throat three times with a machete after finishing making love during night time when she was forced by her husband to sleep with him, the district commissioner of Serengeti Mr. Nurdin Babu confirmed. “The incident was reported by her father (Happy) after an alert from Bebe's neighbor, that they heard a screaming from his in-laws house at midnight and when do follow up they found Bebe lying on the floor and bloodshed around him and Happy was calm”. Said Mr. Nurdin during press conference held at Serengeti district central police. By looking on this incident, the respective society becomes in dilemma to blame a just married girl for killing her husband or her family for putting her on that situation! Miss Halima, Happy's friend quoted, “my friend was under psychological pressure which affected her, she had a boyfriend with whom they are in good relation and they are promised to tie the knot in the coming year”. A study conducted in Serengeti District in Tanzania reported that the majority of women had positive attitude towards GBV against them, which is likely to slow down the process of eradicating GBV. In this study woman argued that beating may result into injuries and permanent disabilities, therefore nobody enjoy it. On the other hand, when asked to clarify the myth; some male admitted that normally women enjoy being beaten because it is associated with jealousy, assuming that men must beat their wives to prove that they love them. Therefore, men use the false myth in order to justify GBV. In Tanzania, GBV is going wide; we look at the Tanzania Demographic Health Survey (TDHS) conducted in 2021 found that 44% of every married woman has experienced physical and/or sexual violence from an intimate partner in their lifetime. Within the family even the spouse is forced to have sex, this also is rape in other way but many who experience it remains silent. Some are afraid to be divorced by their spouse or to reserve respect for their spouse or partner. Gender-based violence (GBV) undermines the health, dignity, security, and autonomy of its victims, yet it remains shrouded in a culture of silence. Victims of violence can suffer sexual and reproductive health consequences, including forced and unwanted pregnancies, unsafe abortions, fistula, sexually transmitted infections and HIV, and even death. UNFPA is one of the UN's lead agencies working to further gender equality and women’s empowerment and to address the physical and emotional consequences of GBV. UNFPA’s programs offer psychosocial assistance, medical treatment and rape kits to survivors, and promote the right of all women and girls to live free of violence and abuse which is one of the human rights. The culture of society to remain silence or they are not proactive when the gender based violence happens around them increase the number of them. In area like Zanzibar some police officers(Men) they think women rape is not they are issue or they don’t understand it. "Gender-based violence is persistent in Zanzibar but women are not confident in reporting these issues," says deputy sergeant Mauwa Saleh, a police officer for 25 years. She deploy that after asked by Rebecca Grant, who is a freelance journalist based in Brooklyn. She covers women's health, reproductive rights, and gender-based violence. Mauwa continues "In the past, there were very few cases because victims were afraid and there was no special handling or privacy." Many GBV were conducted with close people like neighbor, grandfather, brothers, uncle’s, cousins, father’s, stepfather. According to Tanzania annual Crime and Traffic Incidents Statistics report, published by the National Bureau of Statistics, gender-based violence against children "mostly occurs in the communities especially within a family". Poverty is the catalyst of member of the family to experience GBV among themselves, sharing same bedroom between the old and young ones. Moreover member or neighbor with good economic muscle can persuade the girl with his money or gifts and having sex with her and she'll remains silence in a afraid of that pipe to be cut off and she’s in need. International Food Policy Research Institute on their blog article “How is economic security linked to gender- based violence? New insights from the Sexual Violence Research Initiative Forum 2019”. Write on Tanzania, Using baseline data from the evaluation of a livelihoods plus live skills training for adolescents living in households participating in the national cash transfer program, 1 in 5 adolescents aged 15-19 started relationships for financial reasons, often with the promise of a "better life," but girls who got pregnant were often abandoned by partners. Gender Based Violence to women and children may results into unexpected pregnancy and health complication like HIV or other STI's. And this needs early examination about 72 hours after assault. Sexual harassments to the women and children mostly are conducting without using any protection which leads to the transmission of those dangerous diseases and unwanted pregnancy also they can be early pregnancy to the children. Some tribes when a girl conceive an early pregnant she is forced to have another problem of getting early marriage to the someone who do the violence so they can clear the shame in the society they present. Women exposed to the men violence may undergo such a behavior like use and alcohol abuse or suicidal tendency. As man remains a breadwinner and heads of the family automatically mute the voice of woman to be heard especially when they face physical gender based violence. In South Africa during this Covid-19 pandemic era it has been easier to get some one arrested for breaking down lockdown regulations than to get the authority to es to respond the calls from women beaten to destatusonomic sstatus: The relationship between economic insecurity and gender-based violence is complex. Empowering women can help eliminate hunger, food scarcity also leads to increased gender-based violence. In Malawi, where a 2013 survey revealed that 61% of women and girls said they had experienced sexual violence and 64% had experienced physical violence. To empower women it’s not an option if society wants to eradicate this violence among women, when they have economic power they can make decision and provide needs and wants on their family and that manhood attitude can be perished. Financial institute should assist women by giving them loan with affordable interest. Government also should pass laws and policy which are in favor to women. In a few, some part of Kenya and Tanzania at Kilimanjaro region men’s are beaten by their partners (wife) because they don’t have economic power, they don’t want to work instead they spend most of their time on drinking alcohol. We must use available resources to overcome and support all women and girl whom experiencing violence. Gender-based violence is a major human rights issue, predominantly affecting women and girls, regardless of class, ethnicity, age, sexual orientation, disability status or culture. The author is the SJMC Journalism student, who participated in the BORESHA HABARI Projects trainings 0713372194